|
Alert Bulletin
from Survival International
Kenya: Serikali
yaharibu Msitu wa Wa-Ogiek
'Kutoa makazi kwa watu
wengine katikati yetu ina maana kuwa mila ua Wa-Ogiek itakufa na sis tutapotea
kabisa.' Joseph Towett, Mwenyekiti wa Halmashauri ya
Wa-Ogiek
Jamii
ya Wa-Ogiek wa Kenya wanapinga serikali inayokusudia kuharibu msitu ambao ni
mahali pao pa kuishi.
Jamii hii yenye karibu watu
14,000 wameishi hapo tangu zama za kale katika mlima wa msitu wa Mau
unaoelekea bonde la ufa kwa upande wa Kenya. Jamii hii huishi kwa kutegemea
ukusanyaji wa matunda mwitu na uwindaji, ingawa wanafahamika pia kwa umaarufu
wao wa kukusanya asali kutoka mizinga iliyotundikwa katika matawi makubwa ya
miti ya msitu huo. Pamoja na kuwa wala asali maarufu, Wa-Ogiek pia hufanya
biashara na majirani zao waishio nje ya msitu. Baadhi ya Wa-Ogiek waishio
ndani ya msitu huishi kwa kutegemea ukusanyaji na uwindaji tu, wengine
hukamilisha mahitaji yao ya chakula kwa kulima mboga kidogo na ufugaji. Kwa
Wa-Ogiek wote, ufugaji nyuki na okusanyaji wa asali ni sehemu muhimu ya aina
ya maisha yao. Kama wakusanyaji/wawindaji hawapewi heshima inayostahili na
majirani zao ambao ni wafugaji.
Mau ni makazi ya asili ya
Wa-Ogiek, ni sehemu iliyotengwa maalum na serikali ya Kenya chini ya sheria ya
Misitu. Tangu nyakati za Wakoloni, serikali imejaribu kuwatoa kutoka msituni
chini ya kigezo cha 'kulinda mazingira' kutoka shughuli za Wa-Ogiek; lakini
mwaka huu mamlaka inayohusika imejaribu kuwatoa nje ya makazi yao ya asili.
Lakini siku zote watu hawa wamejaribu kurudi kwao ingawa sasa wamepata vitisho
vikali zaidi.
Kwa madai kuwa msitu unahitaji
kulindwa kutoka jamii hizi ambazo kwa namna nyingine wametunza mazingira yake
vema, serikali ya Kenya imefungua karibu heckta 60,000 kwa matumizi ya sekta
binafsi. Watakaofaidika na hatua hii, wengi si Wa-Ogiek, ila ni
wafanyabiashara kama vile wa mashamba ya chai, wakata mbao na wakulima kutoka
sehemu zingine za Kenya. Kampuni kubwa tatu za mbao kwa mfano, Pan-African
paper Mills, Raiply Timber na Timsales Ltd – tayari zinaendesha shughuli zao
katika msitu huu.
Kuruhusu wageni ndani ya msitu
wa Mau ni sehemu ya kampeni ya kufungua moja ya kati ya sehemu kumi za misitu
ya Kenya kwa makazi ya watu wasio na ardhi – msitu wa Mau ukiwa ni mmoja wao.
Tatizo kubwa ni kuwa hatua hii ya serikali ikitekelezwa, Wa-Ogiek wataingia
katika idadi ya Wakenya wasio na ardhi na wasio na hadhi na watapotea kama
watu. Licha ya hivyo, mpango huu pia unatishia usalama wa mazingira ya Kenya
kwa sababu msitu huu ni eneo muhimu kwa ukusanyaji wa vianzo vya maji. Tayari
ukame umeikumba Kenya na wataalamu wanakubali kuwa kupotea kwa msitu huu
kutaongeza tatizo hili na itaathiri eneo kubwa zaidi hadi eneo la jirani yao
Tanzania.
Mpango wa kufungua misitu ya
taifa ulitangazwa kwa mara ya kwanza januari mwaka huu 2001, na ulifungua
mlango wa upinzani mkali kutoka pande zote za dunia. Upinzani ulitokea pia
toka bunge la Kenya na makundi ya wanamazingira. Chama cha Maendeleo ya
Wa-Ogiek kilipata amri ya mahakama kuu ya Kenya ikiamuru kusimamisha ufunguaji
wa hekari 35,000 za upande wa mashariki ya Msitu wa Mau hadi usuluhishi wa
kesi waliyopeleka mahakamani kupinga hatua hiyo mnamo mwaka 1997. Mamlaka ya
halmashauri yalitoa vitisho kwa jamii hii ili ifute kesi hii lakini wao
walisimama imara na hawakufuta, mzee mmoja aliiambia mamlaka hii kuwa 'hakuna
kiasi cha vitisho kitakachowafanya waache kudai haki yao ya asili waliyopewa
na Mungu na ya kikatiba.' Katika mazingira ya kawaida ya kukataa kujibu madai
ya Wa-Ogiek, kesi hii imeahirishwa. Hata hivyo uchoraji ramani wa eneo hilo
umeendelea licha ya amri ya mahakama. Mara eneo la mashariki la mlima huu
litakapofunguliwa, maeneo mengine ya mlima huu yatafuata.
Mnamo mwezi wa kumi wa mwaka huu,
Waziri wa Mazingira alitoa amri ya kuruhusu kufungua maeneo haya ya mlima huu
na kuna taarifa kuwa wakata mbao wameshaanza kusafisha maeneo yaliyotolewa.
Kwa kuchukua hatua hii, serikali inapingana na maoni ya kimataifa, utaratibu
wake wa kisheria, na haki za Wa-Ogiek chini ya sheria za kimataifa na
inahatarisha usalama wa Wa-Ogiek kama watu.
Tafadhali andika kwa kifupi
na kwa lugha nzuri barua au fax kwa Kiswahili au Kiingereza au kwa lugha yako
mwenyewe na ingiza mambo yafuatayo:
-
Haki ya Wa-Ogiek
kumiliki ardhi yao ya asili inatambulika katika sheria za
kimataifa na ni lazima itambulike.
-
Kufunguliwa kwa
msitu wa Mau kutakiuka amri ya Mahama Kuu ya Kenya na itaongeza
kiwango cha kudharau mahakama.
-
Kupima na kuweka
mipaka katika maeneo yenye mgogoro ndani ya msitu huu ni lazima
kusimamishwe.
Tafadhali
andika kwa
-----------------------------------------------------------
ENGLISH :
Kenya: Government destroys the
Ogiek's forest
"Settlement
of other people in our midst would mean that the Ogiek culture would
cease. We will be wiped out."
Joseph Towett, Chairman, Ogiek Welfare
Council.
The Ogiek people of
Kenya are resisting a government that seems determined to destroy
their forest home.
The Ogiek, who number
about 20,000, have lived since time immemorial in the Mau mountain
forest overlooking Kenya's Rift Valley. They live by gathering wild
plants and hunting, but most of all they are famous as collectors of
honey from beehives in the high branches of the forest trees. As
well as eating this honey themselves, they also trade with
neighbouring peoples living outside the forest. Some Ogiek in the
deep forest live purely by hunting and gathering; others supplement
their hunting with small vegetable plots and some livestock. For all
Ogiek, bee-keeping and collecting honey remain central to their way
of life. As a hunter-gatherer people they are looked down on by
their cattle-herding neighbours.
Mau, the Ogiek's
ancestral home, is a protected area under Kenya's Forest Act. Ever
since colonial times, governments have tried to evict them from the
forest, under the fiction of 'protecting the environment' from the
Ogiek's activities; even this year the authorities have tried to
throw the Ogiek out of their homeland. Up until now, the Ogiek have
always made their way back. But now they are facing the worst threat
yet.
While still claiming
that the forest needs protection from these hunter gatherers who
have always managed it sustainably, the Kenyan government has opened
up nearly 60,000 hectares of it for private use. Those who will
benefit are mostly not the Ogiek, but developers such as tea
planters and loggers, along with settlers from elsewhere in the
country. Three powerful logging companies – Pan African Paper
Mills, Raiply Timber, and Timsales Ltd – are already active in the
forest.
Allowing outsiders into
the Mau forest is in fact part of a larger vote-winning scheme to
open up around one tenth of Kenya's forests for settlement by some
of the country's many landless people – the Mau forest makes up a
large proportion of the total area being opened up. The tragedy is
that if the government's scheme goes ahead, the Ogiek will simply
join the numbers of Kenya's dispossessed and die out as a people.
The plan also threatens Kenya's environment, as the Mau forest is a
vital water catchment area. Drought is already endemic in Kenya, and
experts agree that the loss of forest cover will worsen the problem,
affecting neighbouring Tanzania also.
The plan to open up the
nation's forests was first announced in January 2001, sparking a
wave of international protest. There was opposition in the Kenyan
parliament, and protests and petitions from environmentalists. The
Ogiek Welfare Association obtained an order from the Kenya High
Court halting the opening up of 35,000 hectares in East Mau until
after the resolution of a case which they had filed in defence of
their land as long ago as 1997. Local authorities tried, through
threats and intimidation, to make the Ogiek withdraw the case, but
they remained firm; one elder told the local head of government, 'No
amount of intimidation will deter us from demanding our God-given
right within the constitution.' In an obvious attempt to
avoid answering the Ogiek's claims, the case has been postponed. Yet
surveying of the disputed land has gone on, in clear contempt of
court. Once the East Mau has been opened up, the same is likely to
happen to other Ogiek areas.
In October 2001, the
environment minister gave the order to go ahead with the opening up
of these forest areas, and there are reports that loggers have
already started systematic clearing of the newly-opened forest
tracts. By going ahead, the Kenyan government is defying
international opinion, its own legal system and the Ogiek's rights
under international law, and is endangering the survival of the
Ogiek as a people.
Please write a brief and polite
letter or fax (in Kiswahili, English or your own language) including
these points:
- The right of the Ogiek people to
the ownership of their ancestral land is enshrined in
international law and must be recognised.
- The opening up of East Mau Forest
would be a blatant violation of High Court orders, and by
extension a contempt of court.
- Surveying and logging in all the
disputed areas of the Mau forest must be stopped.
Please
send your letter to
------------------------------------------------
SPANISH
KENYA: El govern destrueix
la selva dels ogiek
'L'assentament d'altres persones en les nostres terres significaria que la cultura ogiek deixaria
d'existir. Seríem arrasats.' Joseph Towett, President del Consell d'Assistència als Ogiek.
El poble ogiek de Kenya està resistint en front d'un govern que sembla obcecat a destruir la selva on té la seva llar.
Els ogiek, que sumen unes 14.000 persones, han viscut des de temps immemorials a Mau, una selva de muntanya que s'eleva sobre la Vall del Rift a Kenya.
Viuen de la recol·lecció de plantes silvestres i de la caça, però són coneguts, sobre tot, per la seva habilitat per a extraure mel de les bresques situades en la copa dels arbres.
A més d'alimentar-se d'aquesta mel, comercien amb altres pobles veïns que viuen fora de la selva.
Alguns ogiek de la selva profunda viuen sol de la caça i la recol·lecció; altres complementen la caça amb cultius de subsistència i quelcom de bestiar.
Per a tots els ogiek, l'apicultura i la recol·lecció de mel són fonamentals en el seu estil de vida.
En ser un poble caçador-recol·lector, són menyspreats pels seus veïns ramaders.
Mau, la llar ancestral dels ogiek, és una àrea protegida en virtut de la Llei Forestal de Kenya.
Des dels temps colonials, els governs han tractat d'expulsar-los de la selva, sota el pretext de 'protegir el medi' de les activitats dels ogiek; aquest any, per exemple, les autoritats tractaren d'expulsar els ogiek de les seves terres.
Fins ara, els ogiek sempre han aconseguit tornar.
Però ara s'enfronten a una amenaça encara pitjor.
Mentre segueix proclamant que la selva necessita protecció davant d'aquests caçadors-recol·lectors, el govern de Kenya ha obert quasi 60.000 hectàrees per a ús privat.
Quins van a beneficiar-se en major mesura no són els ogiek, sinó el capital privat (plantacions de te, explotacions fustaires), juntament amb els colons que arriben d'altres parts del país.
Tres importants companyies fustaires - Pan African Paper Mills, Raiply Timber, i Timsales Ltd - ja han entrat a la selva.
El fet de permetre als no indígenes entrar a la selva de Mau és, en realitat, part d'un pla de captació de vots basat en l'obertura d'una dècima part de les selves de Kenya a la colonització per part de grups 'sense terra': la selva de Mau suposa una gran part de l'àrea total que s'obriria.
El més tràgic és que, si els plans del govern continuen, els ogiek acabaran engrossir les files dels desposseïts i desapareixeran com a poble.
Aquests plans també són una amenaça per al medi ambient de Kenya, ja que la selva de Mau és una zona fonamental d'aprovisionament d'aigua. La sequera ja és endèmica al país, i els experts coincideixen en què la pèrdua de terres selvàtiques agreujarà el problema, arribant a afectar també a la veïna Tanzània.
Aquest pla per a obrir les selves del país fou anunciat per primera vegada el gener de 2001, desencadenant protestes internacionals. Hi va haver oposició des del parlament kenyà, així com del moviment ecologista.
L'Associació d'Assistència als Ogiek aconseguí una ordre del Tribunal Superior de Kenya per a frenar l'obertura de 35.000 hectàrees a Mau oriental després de la resolució d'una demanda realitzada pels ogiek en defensa de la seva terra ja el 1997.
Les autoritats locals tractaren, amb amenaces i intimidacions, de forçar els ogiek a retirar la demanda, però ells es mantingueren ferms; un ancià declarà, davant de la major autoritat del govern local, que 'cap intimidació ens dissuadirà d'exigir els drets que Déu ens ha atorgat segons la Constitució.'
En un intent obvi d'evitar respondre a les reclamacions dels ogiek, el judici ha sigut posposat. No obstant, els estudis sobre la terra en litigi han continuat, en un desacatament a l'autoritat del Tribunal.
Una vegada que Mau oriental hagi sigut obert, altres àrees ogiek correran, amb tota probabilitat, la mateixa sort.
L'octubre de 2001, el ministre de medi ambient donà l'ordre de continuar l'obertura d'aquestes terres selvàtiques, i existeixen informes que revelen que els fustaires han iniciat ja la tala sistemàtica de nous camins.
Aquesta passa del govern kenyà suposa un menyspreu a l'opinió pública internacional, al seu propi sistema legal i als drets dels ogiek en virtut del Dret Internacional, i posa en perill la supervivència dels ogiek com a
poble.
Acció
Si et plau, escriu una carta/fax
breu i atent a (en català, castellà, anglès o en la teva pròpia llengua) a:
www.ogiek.org
click ACTION
Incloent-hi els següents punts:
-
El dret del poble ogiek a la propietat de les seves terres ancestrals està recollit al Dret Internacional i ha de ser
reconegut.
-
L'obertura de Mau oriental suposaria una violació flagrant del dictamen del Tribunal Suprem, i per extensió un desacatament a
l'autoritat.
-
Els estudis i la tala en les àrees en litigi dins de la selva Mau han de
cessar.
----------------------------------
FRENCH
Kenya: le gouvernement détruit
les forêts ogiek
'La
colonisation de notre territoire annoncerait la fin de la culture
ogiek. Nous serions balayés.' Joseph Towett, président,
Conseil de protection ogiek
Le peuple ogiek du Kenya
tient tête à un gouvernement qui paraît déterminé à détruire
son habitat forestier.
Les Ogiek vivent depuis
des temps immémoriaux dans la forêt montagneuse de Mau qui
surplombe la vallée du Rift au Kenya. Ils vivent de la cueillette
de plantes sauvages et de la chasse, mais ils sont surtout réputés
pour leur miel qu'ils collectent sur les cîmes des plus hauts
arbres de la forêt et dont ils échangent le surplus de leur
consommation avec leurs voisins vivant en dehors de la forêt.
Quelques groupes ogiek vivent exclusivement de la cueillette et de
la chasse; d'autres complètent les produits de leur chasse avec de
petites parcelles cultivées et quelques têtes de bétail. Pour
tous les Ogiek, la collecte de miel est un élément essentiel de
leur mode de vie. En tant que chasseurs-cueilleurs, ils sont méprisés
par leurs voisins éleveurs de bétail.
Mau, la terre ancestrale
des Ogiek, est un espace protégé par la loi régissant les forêts
(Kenya's Forest Act). Depuis l'époque coloniale, les gouvernements
successifs s'efforcent de les expulser de la forêt, sous prétexte
de 'préserver l'environnement' des activités des Ogiek; cette année
encore, les autorités ont tenté de les chasser de leur territoire.
Jusqu'à présent, les Ogiek sont toujours parvenus à revenir chez
eux. Mais ils sont aujourd'hui confrontés à un danger beaucoup
plus grave encore.
Bien que prétendant
obstinément que la forêt requiert protection contre ces
chasseurs-cueilleurs qui l'ont pourtant toujours gérée de façon
durable, le gouvernement kenyan vient d'en ouvrir presque 60 000
hectares à l'usage privé. Ceux qui en bénéficieront sont pour la
plupart des 'développeurs' non-Ogiek, tels que des planteurs de thé
ou des coupeurs de bois, ainsi que des colons d'autres régions du
pays. Trois puissantes compagnies forestières – Pan African Paper
Mills, Raiply Timber, et Timesales Ltd – opèrent déjà dans la
forêt.
Autoriser l'afflux d'étrangers
dans les forêts de Mau participe en effet d'une manÒuvre électoraliste
plus vaste visant à ouvrir environ un dixième des forêts du Kenya
(dont la forêt de Mau) à la colonisation par les nombreux 'sans-terre'
du pays. Si le projet du gouvernement voit le jour, les Ogiek iront
grossir les rangs des nombreux indigents du pays et disparaîtront
en tant que peuple. Ce plan menace aussi l'environnement du Kenya,
car la forêt de Mau est une région cruciale de captage des eaux.
La sécheresse est déjà endémique au Kenya, et les experts
conviennent que la disparition de la couverture forestière
aggravera le problème, affectant également la Tanzanie voisine.
Le projet d'ouvrir les
forêts nationales fut annoncé en janvier 2001, provoquant une
vague de protestations internationales. Il y eût même une forte
opposition au sein du Parlement kenyan, ainsi que de nombreuses
protestations et pétitions des mouvements environnementalistes.
L'Association de Protection Ogiek obtint un arrêté de la Haute
Cour du Kenya stoppant l'ouverture de 35 000 hectares dans le Mau
oriental jusqu'à résolution du procès qu'ils avaient engagé en défense
de leur territoire en 1997. Les autorités locales tentèrent, par
des menaces et des manÒuvres d'intimidation, de pousser les Ogiek
à retirer leur plainte, mais ces derniers restèrent fermes. Un de
leurs sages déclara au représentant local du gouvernement: 'Nulle
manœuvre d'intimidation ne nous fera renoncer à notre droit divin
inscrit dans la Constitution.' Pour ne pas avoir à répondre
aux revendications ogiek, le procès fut ajourné. Cependant, la
prospection du territoire disputé continue, en contradiction
flagrante avec la décision de la Cour. Une fois le Mau oriental
ouvert, la même chose risque de se produire sur les autres terres
ogiek.
En octobre dernier, le
ministre de l'Environnement donna l'ordre de procéder à
l'ouverture de ces régions forestières, et des coupeurs de bois
auraient déjà commencé le défrichage systématique de parcelles
nouvellement ouvertes. En procédant ainsi, le gouvernement kenyan défie
l'opinion publique internationale, son propre système législatif
et les droits des Ogiek garantis par la législation internationale.
Il met en danger leur survie en tant que peuple.
|